LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 15, 2014

BARAZA LA BIASHARA MKOANI MBEYA NA KUJADILI MASUALA YA UWEKEZAJI


Mkuu wa mkoa huo Abbas Kandoro akizungumza katika   mkutano wa baraza la biashara uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini Mbeya wenye lengo la kufanya maandalizi ya Kongamano la uwekezaji litakaloanza Agosti Mosi mwaka huu
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo ambao ni wakuu wa wilaya wakiwa makini kusikiliza maada mbalimbali zinazotolewa katika kikao hicho cha baraza mkutano ambao umehusisha viongozi wakuu wa mkoa huo wa mbeya 





Katibu tawala Mkoa wa Mbeya Ndugu Mariam Mtunguja akichangia maada katika mkutano huo
Meneja wa kituo cha Uwekezaji Kanda ya Nyanda za Juu kusini (TIC) Ndugu Daud Liganda  akichangia katika mkutano huo .


  Kikao hicho kimekuwa na ajenda kubwa ya kujadili na kupitia taarifa mbalimbali za utekelezaji katika sekta ya uwekezaji sanjali na maandalizi ya ufanyikaji wa kongamano kubwa la kiuwekezaji kwa Kanda ya Nyanda za juu kusini ambalo linaloratibiwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo TCCIA ambapo pamoja na mambo mengine  kinawatupia lawama viongozi wa serikali waliokabidhiwa nyadhifa ili kusimamia sera na kanuni za utumishi wa umma.


Aidha Kongamano hilo la Uwekezaji linatarajiwa kuzinduliwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Ndg. Mizengo Pinda Agosti Mosi mwaka ambapo zaidi ya washiriki 300 wanatarajiwa kushiriki sanjari na maonyesho ya bidhaa za wakulima (Nane Nane)Picha na ubwa likiwa ni kujadili Kongamano hilo la uwekezaji kanda ya Nyanda za Juu Kusini lina.Picha na Keneth Ngelesi.
mwisho













No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages