Taasisi ya faridas foundation inatarajia
kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi
katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia
saa 6-12 jioni. Katika siku hyo taasisi itatoa misaada mbali mbali kwa
walemavu ikiwemo baiskeli za walemavu, vyerehani, vifaa vya shule na
vifaa vingine muhimu kwa walemavu ukiwa kama mdau au mtanzania
unayeguswa na walemavu na ungependa kuhudhuria siku hyo maalumu kadi
zinapatikana kwa mchango wa shilingi laki moja na kuendelea hii
ikiambatana na chakula cha mchana vinywaji na burudani mbalimbali pia
utakuwa umesaidia kuongeza idadi ya vifaa vitakavyotelewa kwa walemavu
mbali mbali. Kutoa ni moyo sio utajiri. Endapo una kampuni au ungependa
kushiriki kama kampuni au taasisi kwa kudhamini pia nafasi bado zipo
wazi wasiliana nasi kupitia +255715186262 au email
faridasfoundation@gmail.com
Your Ad Spot
Jun 3, 2014
Home
Unlabelled
TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI SIKU YA TAREHE 28/06/2014
TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI SIKU YA TAREHE 28/06/2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇