Wakati
wa Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili 1964, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais wa
Zanzibar Abeid Amaan Karume ambao sasa wote ni marehemu, walipanda katika shimo moja miembe
miwili mmoja kutoka Zanzibar na mwingine kutoka Tanganyika. Miembe hiyo
imekuwa na kustawi pamoja na kufanya shina moja 'through grafting' .Leo hii mti huo wa
mwembe umestawi vyema katika bustani ya Ikulu, Dar es Salaam, kama unavyoonekana leo Aprili 26, 2014 ambayo ni Siku ya miaka 50 ya Muungano.
Your Ad Spot
Apr 26, 2014
Home
Unlabelled
MWEMBE ULIOPANDWA NA NYERERE NA KARUME KATIKA IKULU YA DAR ES SALAAM WATIMIZA MIAKA 50 LEO
MWEMBE ULIOPANDWA NA NYERERE NA KARUME KATIKA IKULU YA DAR ES SALAAM WATIMIZA MIAKA 50 LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇