LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 4, 2014


MTEMVU,AONGOZA MKUTANO MKUU WA KATA YA 14 TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la TemekeAbbas Mtemvu  akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kata ya 14(CCM) Mohamedi Kidungu


Diwani kata ya Tandika Mariam Mtemvu
(kushoto) akisikiliza kwa makini , alipokua akizungumza Mwenyekiti wa
chama cha mapinduzi (CCM) kata ya 14 Temeke


Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa
mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Musa
Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti
Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha  Mapinduzi (CCM),Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki
.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea
kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema),  Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14
Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha 
Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki 


Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu
akianyesha kadi ya mwanachama huyo na akiwa anavishwa Tisheti na Katibu
Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya , 




















No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages