Mwenyekiti
wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Ameir Kificho
akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba alipowasili katika
ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma kushoto kwake ni Bw. Mohamed Mbwana, katikati
ni Rufai said Rufai na Kulia kwa Mwenyekiti ni Bw. Heri Khatibu.
Mjumbe wa
Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa Hawa Ghasia na Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi Charles Tizeba
wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Mjumbe wa
Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akitoa mapendekezo juu ya taratibu za kupiga kura
katika kufanya marekesho ya kanuni zitakazotumika katika Bunge Maalum la Katiba,
wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo
Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiwaeleza jambo Waziri wa
Fedha Saada Salum Mkuya (katikati) na Makamu wa
Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi(Kushoto).Wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.Kushoto ni
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa
Ibrahim Lipumba akitoa mapendekezo yake kuhusu taratibu za upigaji kura unaoangalia
maridhiano ya misingi ya kidemokrasia .Kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Rais,
Kazi Maalum Prof. Mark Mwandosya na mbele ni Mbunge wa Jimbo la Monduli,
Edward Lowassa.wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katibaleo Mjini Dodoma. (PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇