Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mar 19, 2014
Home
Unlabelled
KINANA AKUTANA NA MJUMBE WA FRELIMO
KINANA AKUTANA NA MJUMBE WA FRELIMO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇