Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania
wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika
ukumbi wa Hotel ya The Ashok mjini New Delhi, akiwa katika ziara ya
kukuza
uhusiano na mashirikiano na nchi hiyo. Kulia ni Waziri wa
Uwezeshaji,Vijana wanawake na Watoto, Zainab Omar Mohamed, Mama
Mwanamwema Shein, na (kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John
Kijazi. Picha nyingine 12 za ziara hiyo>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇