Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kutengeneza bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
Wanafunzi wakipata maelezo kutoka kwa Sawe kuhusu upikaji wa bia kwa njia ya kisasa
Wanafunzi wakiwa maabara ya kiwanda hicho
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi mitambo ya kuchuja bia inavyofanyakazi wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa
ni sehemu ya mafunzo yao.
Bia zikiwa tayari
Makret ya bia yakiwa tayari kiiwandani hapo
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kulia) akiwa na Mkufunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Nassoro Sekiuye (kulia kwake) pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
SAWE AKIWAONESHA WANAFUNZI AINA YA MALIGHAFI YA HOPS INAYOTUMIKA KUTENGENEZEA BIA |
Wanafunzi wakiwa maabara ya kiwanda hicho
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi mitambo ya kuchuja bia inavyofanyakazi wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa
ni sehemu ya mafunzo yao.
Mtambo wa kufunga bia za kopo kwenye makasha |
Makret ya bia yakiwa tayari kiiwandani hapo
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kulia) akiwa na Mkufunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Nassoro Sekiuye (kulia kwake) pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇