LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2014

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama vifaa vya kisasa kabisa vilivyofungwa katika ukumbi wa  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages