|
RAIS KIKWETE |
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama,
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) kuanza mara moja kazi ya kusimamia utoaji huduma kwa watu walioathiriwa
na mafuriko katika Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni pamoja na kusimamia ujenzi wa
nyumba za muda wa waathirika hao.
Rais pia ameliamuru
Jeshi kupeleka mashine za kusafisha maji katika makambi ambako waathirika hao wa
mafuriko ya Januari 22, mwaka huu wanaishi kwa....inaendelea
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇