Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali, Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa David Msuya katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali
ya Taifa Muhimbili, leo, Jan 15, 2014.
Jan 15, 2014
Home
Unlabelled
RAIS JAKAYA KIKWETE WAJULIA HALI MZEE MSUYA NA WAZIRI WA ZANZIBAR WALIOLAZWA MUHIMBILI
RAIS JAKAYA KIKWETE WAJULIA HALI MZEE MSUYA NA WAZIRI WA ZANZIBAR WALIOLAZWA MUHIMBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇