LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 3, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA GATI LA MAFIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Gati la Mafia iliyojengwa wilayani Mafia leo.Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Dkt.Harrison Mwakyembe,Wapili kushoto ni Mbunge wa Mafia Mheshimiwa Abdul Karim Shad,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Bwani Bi.Mwantum Mahiza na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembea kwenye Gati la Mafia lenye urefu wa kilometa moja na nusu muda mfupi baada ya kuifungua rsmi mjini Mafia leo.Weninge katika picha kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza,Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wanne kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mafia Bi.Sauda Mtondoo na kulia ni mbunge wa Mafia Mhe.Abdul Karim Shad.
 Gati ya Mafia iliyofunguliwa rasmi na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Mafia leo (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages