Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, akifungua semina ya siku mbili ya kuwaongezea umahiri Waendeshaji wa Blogu na mitandao mingine ya Kijamii, leo Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasilino wa TCRA Innocent Mugy na Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Google Kusini mwa Jangwa la Sahara, Joe Mucheru na wapili ni Mtaalamu wa masuala la Blog na mitandao ya kijamii kutoka kampuni ya Tech Walk Technology, Kenya, Liz Wachuka
Washiriki wakiwa kwenye semina hiyoWashiriki kwenye semina hiyo
Washiriki kutoka Chama cha Ma-blogger wa Arusha wakiwa kwenye semina hiyo
Washiriki wa kila aina
Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇