Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akifunga semina ya Wamiliki wa Blog na Wasimamizi wa Mitandao ya Jamii, baada ya semina hiyo kumalizika leo, Makao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam, Semina hiyo iliyoandaliwa na TCRA kuboresha weledi wa Wanahabari hao, ilianza jana, ambapo wataalam mbalimbali wakiwemo kutoka Kampuni ya Google na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Shule ya Uandishi wa habari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, walitoa mada moto moto ambazo bila shaka zimewaongezea ujuzi wanahabari hao.
MKurugenzi wa TCRA, Profesa John Nkoma akimkabishi cheti cha kuhitimu semina hiyo, Mmiliki na Mtayarishaji Mkuu wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, mwishoni mwa semina leo.
Cheti chenyewe cha Nkoromo ndicho hiki.
Mmiliki wa Habari Mseto Blogu, Francis Dande akipokea cheti chake
Othman Michuzi kutoka Michuzi Media, akipokea cheti cha kushiriki semina hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano TCRA Innocent Mungy.
Mwanadada huyu ambaye pia ni Blogger mahiri akipokea cheti chake
Sambaya kutoka Tanuru la Fikra akipokea cheti chake
Blogger Doto Kahidni akipokea cheti chake
Mwana Mtandao, Magnus Mahenge akipokea cheti chake
Mroki Mroki wa Father Kidevu Blogu akipokea cheti chake
Muhidin Sufiani wa Sufiani Mafoto akipokea cheti chake
Sufian akikifurahia cheti chake
Henry Mdimu maarufu kama Nzee la Nyeti, akipokea cheti chake
John Badi wa Daily Mitikasi Blog akipokea cheti chake
Mike wa Jamii Forums akipokea cheti chake
Blogger wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurigenzi wa TCRA, Prof, John Nkoma na Mungy
Mablogger wakiwa katika picha ya pamoja na Prof Nkoma na Mungy mbeye ya jengo la TCRA
Timu ya Mablogger wanawake tu hii hapa
Your Ad Spot
Sep 18, 2013
Home
Unlabelled
SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII WAMALIZA SEMINA YAO LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII WAMALIZA SEMINA YAO LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇