LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA IDDI KITAIFA KESHO, AFUTURU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA TABORA JIONI HII.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR

 Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika Ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo leo jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages