Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo alipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwelewesha jambo Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, alipomkaribisha Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo alipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, alipomkaribisha Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikizaa Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013.
MKUREUGENBZI WA NDI KUSINI NA MASHARIKI MWA AFRIKA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkurugenzi wa Taasisi ya Chama Cha Democrat cha Marekani, inayojishughulisha na programu mbalimbali za mamboresho ya kisiasa (NDI), Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, mgeni huyo alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo na kuwa na mazungumzo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya Chama Cha Democrat cha Marekani, inayojishughulisha na programu mbalimbali za mamboresho ya kisiasa (NDI), Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, mgeni huyo alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 12, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Chama Cha Democrat cha Marekani, inayojishughulisha na programu mbalimbali za mamboresho ya kisiasa (NDI), Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dk. Keith Jennings (watatu kushoto), baada ya mazungumzo na mgeni huyo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 12, 2013. (Wapili Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro. Wengine ni ujumbe aliofuatana nao Mkurugenzi huyo. Ofisa Mkuu wa Programu wa NDI Kusini na Mashariki mwa Afrika, Martha Haile (kushoto) na kulia ni Ofisa wa Programu wa NDI, Tanzania, Mahija Dodd na Dk. Bernadeta Killian kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇