Kama ulivyo utaratibu aliojiwekea wa kutoa hotuba maalum kwa wananchi, kila mwisho wa mwezi, Rais wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa mwezi uliopita, Julai mwaka huu, pia ametoa hutoba yenye ufafanuzi wa mambo mengi muhimu. Kama ungependa kuisoma kwa makini zaidi hotuba hiyo kama tulivyoipata >BOFYA HAPA au tazama video ya hotuba hiyo hapa chini.
Your Ad Spot
Aug 3, 2013
Home
Unlabelled
HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013, YA RAIS JAKAYA KIKWETE
HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013, YA RAIS JAKAYA KIKWETE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇