LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2013

BARAFU LA MLIMA KILIMANJARO LAKAUKA MLIMA MWEUPEEE

 Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri. Picha na www.sufianimafoto.com

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages