LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 8, 2013

RAIS KIKWETE ACHEZESHA MECHI YA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA


Rais Jakaya Kikwete akikagua timu ya wabunge mashabiki wa Yanga kabla ya timu hiyo kumenyana na wenzao wa Simba, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa Tamasha la Matumaini. Yanga walishinda kwa mikwaju ya penati
..Akiwakagua Simba. PICHA KIBAO ZA MECHI HIYO BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages