Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na viongozi wa
madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo alipokutana nao April 23,
2013 Ikulu jijini Dar es salaam
katika kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo alipokutana nao April 23, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam
katika kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇