Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwakatika mazungumzo na Mjumbe wa Tume ya Uongozi wa Taifa wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Liu Yunshan, kwenye Ofisi za chama hicho mjini Beijing China. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇