Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kulia) na ujumbe wa
viongozi 14 wa CCM anaoongoza nao katika ziara ya mafunzo nchini China
kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo (PCP), wakiwa kwenye
semina iliyoendeshwa na Profesa Fan Jida (wa nne kushoto) kukua kwa
Uchumi wa China na changamoto inazokabiliana nazo kiuchumi. Semina hiyo
imefanyika katika hoteli ya Wanshou mjini Baijing China, Machi 18, 2013.
Baadhi ya washiriki kutoa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga
Sengelema, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martine
Shigela, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani, Mjumbe wa
Kati Kuu ya CCM, Khadija Aboud na Katibu wa NEC, Siasa, Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Vuai Ali Vuai. (Picha na Bashir Nkoromo). |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇