![]() |
| Umati wa wananchi wa Goba ulikuja kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na CCM Mkoa wa Dar es salaam. |
![]() |
| Mtela Mwambpamba akihutubia wananchi wa Goba sababu zilizomfanya ajiunge na chama cha CCM. |
![]() |
| Juliana Shonza aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA,akihutubia wakazi wa Goba na kuwaambia ndani ya Chadema hakuna haki wala usawa . |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM ,Mkoa wa Dar es salaam akihutubia wananchi wa Goba katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ,Feb 17, 2013. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM Kata ya Goba,Theresia Chihota akiukaribisha ugeni kutoka CCM Mkoa wa Dar es salaam na CCM Taifa ambao walifika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Goba,Feb 17, 2013. |
![]() |
| Sura za furaha zinazoashiria jimbo la Ubungo linarudi CCM |
![]() |
| Profesa Jumanne Maghembe akihutubia wakazi wa Goba na kuto majibu ya kuridhisha kuhusu mikakati na mipango ya kuleta maji Goba. |









No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇