Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na msafara wake,
wakinunua miwa njiani baada ya kukutana na muuzaji wa miwa hiyo, wakati
wakitembea kwa mguu zaidi ya kilometa moja kwenda kwenye mkutano wa
hadhara Kijiji cha Bunyambo, baada ya kushiriki shughuli za ujnezi wa
Ofisi ya CCM katika kijiji hicho, Wilayani Kibondo, Januari 31, 2013,
ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo
kilele chake kitafanyika Februari 3, 2013 kwenye Uwanja wa Lake
tanganyika mjini Kigoma.(Picha na Bashir Nkoromo).
|
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇