LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 4, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MSANII SAJUKI LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya msanii Sajuki leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Baba mzazi wa marehemu Sajuki  wakati wa mazishi ya msanii huyo  leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages