![]() |
| Wananchi wa Kijiji cha Karunga kata ya Heru Juu,Kasulu wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye. |
![]() |
| Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa Kjiji cha Karunga,kata ya Heru Juu kabla ya kwenda Kasulu mjini ambako alifanya mkutano mkubwa wa hadhara. |
![]() |
| Mjumbe wa NEC Wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko akihutubia wananchi wa Kasulu mjini tarehe 29/1/2013 |
![]() |
| Band ya Vijana wa CCM Kasulu mjini ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara . |
![]() |
| Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipokea baadhi ya kadi za wanachama wa chama pinzani walioamua kurudi CCM |








No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇