Your Ad Spot
Oct 13, 2012
Oct 12, 2012
MTANGAZAJI WA DEUTSCHE WELLE AFRIKA AAGWA RASMI
Mtangazaji mkongwe wa Idhaa ya Kiswahili Othman Miraji (kulia) akizungumza na Mhariri Mkuu wa Idara ya Afrika ya Deutsche Welle, Ute Scha...
TUMUENZI MWALIMU KWA VITENDO
Chama Cha Mapinduzi,Ofisi ndogo,Lumumba ,Dar es Salaam kimeandaa utaratibu maalumu ambapo tarehe 14 Octoba viongozi mbali mbali na wanacha...
KATIBU MKUU WA CCM APATA UGENI KUTOKA EU NA DFID
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ,Ndugu Wilson Mukama,akisalimiana na Marhall Elliot,Mkuu wa DFID,kushoto ni Balozi Filiberto Sebrego...
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AOMBOLEZA KIFO CHA MFANYAKAZI WA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mama Mzazi wa marehemu, Jenkins Chochole Matu...
Oct 11, 2012
TANZANIA YAUKWAA TENA UJUMBE BARAZA LA UTAWALA LA UMOJA WA POSTA DUNIANI
NA INNOCENT MUNGY DOHA, QATAR Tanzania imechaguliwa tena kuingia katika Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Duniani (UPU), kipindi kingine c...
SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA MSD NA MKUU WA KITENGO CHA UDHIBITI UBORA ILI KUPISHA UCHUNGUZI KUFUATIA KURUHUSU KUSAMBAZWA KWA DAWA BANDIA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI AINA YA TT-VIR 30.
Makopo ya dawa za kupunguza makali ya Ukimwi yakitofautiana vifungashio. Kopo la kwanza kushoto linaonyesha dawa halisi ya kupunguz...
Oct 10, 2012
DK BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA UGANDA
NA MWANDISHI WETU, UGANDA Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania k...
Oct 9, 2012
RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria n...
ASHA ABDALLAH JUMA APETA BARAZA KUU LA UWT
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na katibu wa NEC Oganizesheni Bi Asha Abdalla Juma, alipokuwa akijieleza katika Uchaguzi wa UWT Mkoa wa...
Oct 8, 2012
JIJI LAZIDI KUSAFISHWA
Gari la usafi likisafisha barabara ya Ohio,katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Post Top Ad
Your Ad Spot