Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Makamu wa
Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Iddi, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue katika mazishi ya Marehemu Mohamed Aboud Mohamed,
aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, katika
Makaburi ya Ngazija jijini Dar es salam Desemba 29, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi
ya Marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali Mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija jijini Dar es
salam ,Desemba 29, 2012.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇