| Baadhi ya Viongozi wa Serikali na wasio wakiserikali, ndugu na jamaa wakielekeamakaburini tayari kwa mazishi ya mbunge wa zamani wa Tabora mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga |
| Rais Mstaafu, Ally Hassan Mwinyi akishiriki kuweka udongo kwenye kaburi la mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga kwenye makaburi ya Kisutu leo. |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa mbunge wa Tabora mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga. |
may his sould rest in peace
ReplyDeletemay his soul rest in peace
ReplyDelete