Na Charles Charles
“KUZUNGUKA
huku na huko kwa CCM ni kutuiga sisi. Tumeanza muda mrefu baada tu ya uchaguzi
mkuu wa mwaka 2010”, ndivyo anavyosema Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa. Bofya hapa kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇