LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2012

NAPE AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA NANJARA REHA,ROMBO

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi mpya za CCM ,wailaya ya Rombo,Mkoani Kilimanjaro (20/10/2012)

Pichani ni jengo jipya la ofisi za CCM Wilaya ya Rombo,ambalo Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ameweka jiwe la msingi tarehe 20/10/2012

Wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wakimpokea Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye katika eneo la Kibaoni, tayari kwa uzinduzi wa kampeni za udiwani wa kata ya Nanjara Reha utakaofanyika tarehe 28 mwezi huu.

Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kushirikiana   kurudisha kiti cha Udiwani mikononi kwa Chama bora cha siasa nchini.


Wakazi wa kata ya Nanjara Reha wakionyesha furaha baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye alipohutubia wakazi wa eneo hilo  kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani.


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages