Josh Palfreman (kulia) akitoa maelezo juu ya taasisi ya AMEND inavyofanya kazi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao. Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali wakishiriki igizo la usalama wa barabarani kwenye hafla ya ufunguzi wa WIKI YA USALAMA barabarani.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇