LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2012

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO‏

Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange   akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages