LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 6, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA WATU WA KOREA (KOREA BUSINESS CENTRE) JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa  na wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages