LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 11, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA KAMATI YA PARLIAMENTARY UNITY (IPU)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU), wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 11, 2012 kwa mazungumzo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU) baada ya mazungumzo wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Sept 11, 2012. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiagana na Mbunge wa Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya mzungumzo na ujumbe huo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages