NA DUSTAN NDUNGURU SONGEA.
MBUNGE wa jimbo la Peramiho wilaya ya Songea vijijini mkoa wa Ruvuma Jenista Mhagama ametoa msaada wa pikipiki saba zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa makatibu kata wa chama cha mapinduzi(CCM) ili kuwarahisishia utendaji wa kazi zao ndani ya chama.
Jenista alitoa msaada huo jana katika kijiji cha Lipokela kilichopo katika kata ya Mbingamhalule ambapo kata za Kikunja ,Mtyangimbole,Muungano, Kata mpya ya Peramiho ,Mpandangindo ,Mkongotema ,na Mbingamhalule zilinufaika na msaada huo.
Akikabidhi msaada huo aliwataka makatibu kata hao kutambua kwamba pikipiki hizo walizokabidhiwa siyo mali yao binafsi bali zitatumika kwa ajili ya shughuli zote za chama na serikali ikiwa ni pamoja na kusaidia kubebea wagonjwa katika maeneo yao.
Inaendelea
Your Ad Spot
Sep 18, 2012
Home
Unlabelled
JENISTA ATOA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KWA MAKATIBU KATA WA CCM.
JENISTA ATOA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KWA MAKATIBU KATA WA CCM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇