Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88 pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishitiki katika kumuombea dua Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM. PICHA NA IKULU
Your Ad Spot
Aug 7, 2012
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEKHE MKUU WA KIJIJI CHA MSATA, BAGAMOYO, MKOA WA PWANI
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEKHE MKUU WA KIJIJI CHA MSATA, BAGAMOYO, MKOA WA PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇