Mh. Charles Tizeba , akiwahakikishia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini kuwa kiwanja cha ndege kitajengwa kama ilivyopangwa. |
Mh.Ole Nangolo ,Naibu Wizara ya Mifugo akihutubia wananchi wa Mkoa wa Rukwa mipango madhubuti ambayo serikali inaifanyia kazi juu wa masuala yanayohusu mifugo |
Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wakiuliza maswali kwa viongozi wao na walipatiwa majibu hapo kwa papo. |
Mh.Aggrey Mwanri akiiwasili kwenye viwanja vya Msakala,mkoani Rukwa ,Wilaya ya Sumbawanga Mjini. |
Katibu wa Halmashauri kuuu ya Taifa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara mkoani Rukwa |
Mh.Adam Malima akizungumza na Wananchi wa Sumbawanga mjini masula mbali mbali yanayohusu kilimo na nchakula pamoja na kutatuliwa kwa tatizo la umeme. |
Waziri wa maji, Prof.Jumanne Maghembe akihutubiwa wananchi wa mkoa wa Rukwa ambapo aliwapasha kuwa suala la matatizo ya maji litakuwa limekwisha karibuni |
Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa wilaya ya Sumbawanga mjini. |
Mzee Crisant Mzindakaya akiwasalimu wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇