Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi hanga la Precision Air lililopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Precision Air Bwana Michael Shirima.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi hanga la Precisionair katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi.Kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt.Harrison Mwakyembe na kulia ni mwanzilishi na Mwenyekiti wa Precision air Bwana Michael Shirima.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya ndege za shirika la ndege la Precision ikifanyiwa matengenezo katika hanga jipya la shirika hilo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Precisionair Bwana Michael Shirima akimwongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kutembela hanga jipya la shirika hilo la ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Precisionair Bwana Michael Shirima wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hanga la shirika hilo la ndege lililojengwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(picha na Freddy Maro).Habari hii inapatikana pia TANZANIA VISION BLOG
Your Ad Spot
Jul 27, 2012
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINMGI UJENZI HANGA LA PRECISION AIR DAR
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINMGI UJENZI HANGA LA PRECISION AIR DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇