LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete apokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa  Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa  na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi  Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi leo July 19, 2012  Ikulu  jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages