![]() |
| Mtaa wa Mkunguni umebadilika kwa kasi sana,na haya ndio mabadiliko yanayodhihirisha kukua kwa mji na maendeleo kwa jumla. |
![]() |
| Mtaa wa Mkunguni jioni huwa busy sana na wafanyabiashara ndogo ndogo hutandaza biashara chini kujaribu kujipatia riziki kutoka kwa watu wanaorudi majumbani baada ya shughuli zao za kila siku. |


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇