LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 6, 2012

MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA,BI REGINA CHONJO AFANYA KIKAO NA WANANCHI WAKE.

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bi. Regina Chonjo akisikiliza jambo kwa makini katika kikao chake na Wazee wa wilaya hiyo.
Wazee wa wilaya ya Nachingwea wakiwa katika Mkutano huo ambao uliitwa na Mkuu wa Wilaya huyo Mpya.
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Regina Chonjo akisalimiana na Muasisi wa TANU Bi.Kanduru alipomtembelea Bibi huyo katika Makazi yake ambayo alipata Ufadhili wa kujengewa nyumba Hiyo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages