Mtaa huo zamani ulijulikana kwa jina la New Street kabla haujabadilishwa na kuitwa Lumumba ..huu mtaa ni moja ya mitaa yenye historia nchini na kwenye makutano yake na Barabara ya Morogoro ni moja ya majengo marefu mjini, mapya na yenye kuvutia, mji unakua na kupendeza.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇