LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2012

MAANDALIZI MKUTANO WA CCM KIGOMA YAIVA‏

Bendera za CCM  zilizopambwa kwenye Uwanja wa Community Cetre, Mwanga, mkoani Kigoma, zikiwa zimeunakishi uwanja huo, leo jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa CCM utakaofanyika kesho Jumapili.
Mafundi wakiandaa jukwaa kwa ajili ya mkutano huo, kwenye Uwanja wa Community Cetre, Mwanga mkoani Kigoma. mkutano huo ni Jumapili, Julai 22.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages