New Msimamo imejikita upya kwenye shughuli za sanaa baada ya kundi la awali la Msimamo la mwaka 2007 kupagaranyika.
Moja ya Malengo makubwa ni kukusanya vijana pamoja, kuelimisha umma haswa kujiepusha na madawa ya kulevya na magonjwa ya hatari kama ukimwi na mengineyo.
Kundi hili pia limeamua kujikita zaidi katika uchezaji wa sinema,ingawa mpaka sasa hawajapata ufadhili wa uhakika.
Wasanii wa kundi la New Msimamo wakiwa kwenye picha ya Pamoja baada ya mazoezi. |
Kundi hili linapatikana kwa shughuli zote za kisanaa na kijamii pia unaweza wasiliana nao kwa namba zifuatazo 0652496046/0654999511.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇