Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo. |
Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo. |
Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo. |
Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo. |
Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo. |
Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo. |
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇