LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 29, 2012

Mkurugenzi wa PharmAccess International ahudhuria Ufunguzi wa Hospitali ya JWTZ Chake Chake, Pemba.

Balozi wa Marekani nchini Mhe. Alfonso Lenhardt akisalimiana na Mkurugenzi wa Miradi wa PharmAccess International Geert Haverkamp, inayojishughulisha na mapambano ya UKIMWI katika majeshi yetu nchini kwa msaada wa watu wa Marekani kupitia Mfuko wa Rais mstaafu wa Marekani Bw. George W. Bush (PEPFAR) na Idara ya Ulinzi ya Marekani DOD. Hapa ilikuwa kisiwani Pemba wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya JWTZ kwenye kambi ya Al-hamisi, Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages