LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 23, 2012

MH. DKT JAKAYA M. KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM-TAIFA, AIFARIJI FAMILIA YA ALIYEKUWA MKUU WA UTAWALA OFISI YA CCM MAKAO MAKUU-DODOMA, MAREHEMU MWAGUNDZA ZABRON KINYAMAGOHA.

  Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Utawala CCM Makao Makao Makuu Dodoma marehemu Mwangunza  Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana.Marehemu Kinyamagoha alifariki hivi karibuni.

Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages