LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2012

Mgombea Urais Kenya afariki ajalini........

Waziri wa Mashauri ya Ndani, Profesa  George Saitoti (66),ambaye pia ni mmoja wa wagombea wa kiti cha urais nchini humo,amefariki dunia  katika ajali ya helkopta iliyotokea Magharibi mwa mji wa Nairobi.
     Taarifa zilizotolewa na maafisa wa juu wa Serikali,zilisema Profesa Saitoti na Naibu wake, Orwa Ojode,walifariki papo hapo wakati ndege hiyo ilipodondoka.
     Watu wengine sita wamefariki dunia  wakiwemo wasaidizi wa mawaziri hao na walinzi wao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages