LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2012

CCM YAFUNIKA MOROGORO SIKU YA JUMAMOSI KATIKA MAHAFALI NA KONGAMANO LA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU CCM.

Mgeni Rasmi Ndg. Abdulrahaman Kinana  akitoa hotuba katika mkutano wa hadhara viwanja vya kichangani morogoro.

Katibu wa (NEC) Siasa na Mahusiano ya Kimataifa  Ndugu  January Makamba akifafanua jambo katika hotuba yake iliyohusu masuala ya Amani katika Tanzania.

Baadhi ya wageni wa Meza Kuu ambao ni Manaibu Waziri, Wabunge na Madiwani pamoja na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohudhuria katika Mkutano Huo.

Umati wa watu uliojitokeza katika mkutano huo wakifuatilia kwa Umakini na kusikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.

1 comment:

  1. nani anasema wanafunzi wa vyo vikuu sio CCM??????? ccm oooooyyyyyeeeeeeee!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages